Jumamosi, 29 Juni 2019

On 13:06 by barbrawilliam in , , , ,    No comments

  MISS KINONDONI 2019 PRESS BONANZA                          Leo miss kinondoni wamefanya special bonanza kwa lengo la kuchangia kituo cha watoto yatima     Amana centre kilichopo mwananyamala jijini dar es salaam kwa kuosha magari ambayo yana lipiwa na wadau ambao wameweza kujitokeza siku ya leo na kuoshwa na washiriki wa miss kinondoni wakiongozwa na mratibu wao Nancy supermodel na pesa kukusanywa na mlezi wa kituo hicho

             Mratibu wa miss Kinondoni Bi Nancy supermodel

Mratibu wa mashindano ya miss Kinondoni 2019 Bi Nancy Supermodel ametangaza rasmi zawadi ya mshindi wa kwanza hadi wa tano,mshindi wa kwanza atajinyakulia zawadi ya gari aina ya bm mini cooper,mshindi wa pili atapata set bedroom,mshindi watatu anapata tv flatscreen kubwa na kin'gamuzi,mshindi wa nne atapata milioni moja,na watano atapata tsh laki tano

 washiriki wakiosha magari kwaajili ya kukamilisha mchango wa kuchangia kituo hicho


.                                           Zawadi ya mshindi wa kwanza

0 maoni:

Chapisha Maoni