Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mavazi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mavazi. Onyesha machapisho yote
Jumatano, 17 Julai 2019
ALLY REHMTULAH KUJA NA UFAHARI WETU FESTIVAL

Mbunifu wa mavazi nchini Tanzania Allyrehmtullah ameandaa tamasha linalokwenda kwa jina la UFAHARI WETU "urith wetu"lenye lengo la kuitangaza utanzania katika vazi la kitenge
Mbunifu huyo wa mitindo ya kipekee nchini amesema maonyesho hayoyatafanyika katika viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es salaam tarehe20 jumamosi hii kwa kuwashirikisha wabunifu na wanamitindo kutoka nchini china pamoja na watanzania ikiwa ni kutangaza Utanzania katika vazi la kitenge
Amewataka wadau mbalimbali kutoa ushirikiano kwa kuleta bidhaa zao siku iyo na watanzania kujitokeza kwa wingi kwenye tamasha ilo la Ufahali wetu 'urith wetu

wabunifu wa mavazi nchini wamejitokeza kutoa ushirikiano pamoja na waandaaji wa vipindi vya urembo na mitindo nao watoa surpot yao siku ya tamasha hilo
m

Ijumaa, 18 Septemba 2015
Hii ni cover ya pili ya Lupita kutoka Vogue ya kwanza ilikuwa mwaka jana July.
Yani lipstick hii imemfanya aonekane kapendeza mnooo hapa ,the dress is from GYVENCHY
Ukitaka soma zaidi ingi humu
picha iliyonivutia zaidi kwani gauni ni zuri sana na inavutia sana
ukiwa kama mwana mitindo unapaswa uwe na mapozi na
muonekano wa kipekee kama mmuonavyo lLupita hapi pichani
Kuna sehem kwenye interview anasema she does Yoga so hili pozi laeleweka linatoka wapi

Alhamisi, 10 Septemba 2015
Richi richi akiwa na mh.irene uwoya katika poz
Jacob steven(jb)
Msanii wa muziki Ruby na yule
Snura mushi akiwa makini
Ezden jumanne nae alikuwepo kwenye red carpety
Ezden kulia kati msami mzee wa soundtrack pamoja na mtangazaji Aziza
Mboni masimba nae alikuwepo
par one
Hakika kilamtu alipendeza kwa muonekanao tofauti
Stani bakora
Halima kimwana nae alitokezea poa kwenye redcarpety
Kajala masanja alipendeza zaidi
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
Search
Popular Posts
-
Faida za kutumia ua la Ulimi wa Mama Mkwe kiroho ni nyingi sana, hasa kwa mtu mwenye macho ya rohoni au anayejishughulisha na mambo ya kinga...
-
ALLY REHMTULAH KUJA NA UFAHARI WETU FESTIVAL Mbunifu wa mavazi nchini Tanzania Allyrehmtullah ameandaa tamasha linalokwenda kwa jina ...
-
JACKSON KABIRIGI'S PROFILE
-
UREMBO ni jambo muhimu kwa mwanamke kwa kujiweka nadhifu wakati wote ikiwa ni pamoja na kujipamba na kujifanyia usafi wa mwili. Watu wengi w...
-
Fainali ilikua ni Jumamosi ya April 18 2015 ambapo shindano la Airtel Trace Music Stars lilifanyika Nairobi Kenya likiwa ni shindano ...
-
Msanii Linah Sanga alimaarufu kama Ndege mnana amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye nje ya kazi yake ya sanaa ni msusi mzuri wa nywele na al...
-
urembo Fashionable lineup ... Rihanna, Beyonce, Jay Z, Kim Kardashian, Jennifer Lopez and Sarah Jessica Parker. Pictures: Getty Source...
-
Magadi Soda: Magadi soda ni mazuri sana kwa kusafishia uso na haswa ukiwa na chunusi. Changanya kiasi kidogo cha magadi so...