Jumatano, 17 Julai 2019

On 02:54 by barbrawilliam in , , , , , ,    No comments
ALLY REHMTULAH  KUJA NA UFAHARI WETU FESTIVAL

Mbunifu wa mavazi nchini Tanzania Allyrehmtullah ameandaa tamasha linalokwenda kwa jina la UFAHARI WETU "urith wetu"lenye lengo la kuitangaza utanzania katika vazi la kitenge
Mbunifu huyo wa mitindo ya kipekee nchini amesema maonyesho hayoyatafanyika katika viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es salaam tarehe20 jumamosi hii kwa kuwashirikisha wabunifu na wanamitindo kutoka nchini china pamoja na watanzania ikiwa ni kutangaza Utanzania katika vazi la kitenge


Amewataka wadau mbalimbali kutoa ushirikiano kwa kuleta bidhaa zao siku iyo na watanzania kujitokeza kwa wingi kwenye tamasha ilo la Ufahali wetu 'urith wetu




wabunifu  wa mavazi nchini wamejitokeza kutoa ushirikiano pamoja na waandaaji wa vipindi vya urembo na mitindo nao watoa surpot yao siku ya tamasha hilo
m










0 maoni:

Chapisha Maoni