Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Michezo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Michezo. Onyesha machapisho yote
Jumamosi, 29 Juni 2019
MISS KINONDONI 2019 PRESS BONANZA Leo miss kinondoni wamefanya special bonanza kwa lengo la kuchangia kituo cha watoto yatima Amana centre kilichopo mwananyamala jijini dar es salaam kwa kuosha magari ambayo yana lipiwa na wadau ambao wameweza kujitokeza siku ya leo na kuoshwa na washiriki wa miss kinondoni wakiongozwa na mratibu wao Nancy supermodel na pesa kukusanywa na mlezi wa kituo hicho
Mratibu wa miss Kinondoni Bi Nancy supermodel

Mratibu wa mashindano ya miss Kinondoni 2019 Bi Nancy Supermodel ametangaza rasmi zawadi ya mshindi wa kwanza hadi wa tano,mshindi wa kwanza atajinyakulia zawadi ya gari aina ya bm mini cooper,mshindi wa pili atapata set bedroom,mshindi watatu anapata tv flatscreen kubwa na kin'gamuzi,mshindi wa nne atapata milioni moja,na watano atapata tsh laki tano
Alhamisi, 20 Agosti 2015
Jumapili, 12 Aprili 2015
On 08:29 by barbrawilliam in Michezo No comments
MAGWIJI wa Tanzania wafungwa bao 2-1 na Magwiji wa Tanzania
Bao la kwanza la Barcelona limefungwa na Luis Garcia katika dakika ya 9′ akimalizia mpira wa kona uliochongwa na mkali wao, Mholanzi, Patric Kluivert.
Tanzania walisawazisha dakika ya 44′ kupitia kwa Yusuph Macho.
Barcelona waliandika bao la pili na la ushindi katika dakika ya 86′ kupitia kwa Kluivert aliyefunga kwa mwakwaju wa penalti baada ya beki Mustapha Hoza kumuangusha Kluivert mwenyewe.
| Naodha wa magwiji wa Tanznia akiojiwa na Bwiga wa cloustv na clous fm |
| Mashabiki waliojitokeza uwanjani hapo |
| AY na FID Q ni moja ya washabiki wa Barcelona nao walikuwepo uwanjani na walitupia Jezi za klab hiyo |
| Mchezaji Patrick Kluvert na wenzake wakiingia uwanjani kupasha kabla ya mechi kuanza |
| Kocha wa Barcelona akibadilishana mawazo |
| Blogger na Meneja tv51 Lonely L.Nzali alikuwepo kukupasha Habari |
| wachezaji wa Barcelona wakionesha upendo kwa walemavu wa ngozi kabla ya mechi kuanza |
| Waziri wa Habari ,utamaduni na michezo Mh;Fenera Mkangara akisalimiana na wachezaji |
| Nahodha wa tanzania akionesha kuumia baada ya kufungwa goli la kwanza |
| Mchezaji wa Barcelona akiteta jambo na chipukizi wa soka Tanzania |
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
Search
Popular Posts
-
Faida za kutumia ua la Ulimi wa Mama Mkwe kiroho ni nyingi sana, hasa kwa mtu mwenye macho ya rohoni au anayejishughulisha na mambo ya kinga...
-
ALLY REHMTULAH KUJA NA UFAHARI WETU FESTIVAL Mbunifu wa mavazi nchini Tanzania Allyrehmtullah ameandaa tamasha linalokwenda kwa jina ...
-
JACKSON KABIRIGI'S PROFILE
-
UREMBO ni jambo muhimu kwa mwanamke kwa kujiweka nadhifu wakati wote ikiwa ni pamoja na kujipamba na kujifanyia usafi wa mwili. Watu wengi w...
-
Fainali ilikua ni Jumamosi ya April 18 2015 ambapo shindano la Airtel Trace Music Stars lilifanyika Nairobi Kenya likiwa ni shindano ...
-
Msanii Linah Sanga alimaarufu kama Ndege mnana amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye nje ya kazi yake ya sanaa ni msusi mzuri wa nywele na al...
-
urembo Fashionable lineup ... Rihanna, Beyonce, Jay Z, Kim Kardashian, Jennifer Lopez and Sarah Jessica Parker. Pictures: Getty Source...
-
Magadi Soda: Magadi soda ni mazuri sana kwa kusafishia uso na haswa ukiwa na chunusi. Changanya kiasi kidogo cha magadi so...





wema sepetu akiwa kwenye pozi
wasanii wengi waliuzulia kwenye fainal hiyo
mpoki akimfurahisha rais wa tanzania