Alhamisi, 18 Julai 2019

On 03:52 by barbrawilliam in , , ,    No comments
Tarehe kama ya leo julai 18 mwaka 1918 alizaliwa,Mzee Nelson Mandela Raisi wa kwanza wa Africa kusini alichaguliwa kidemokrasia na ni mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel


alifariki December 5-2013 akiwa na umri wa miaka 95.Mandela alitumikia kifungo cha miaka 27 gerezani kwa sababu ya mapambano yake dhidi ya mfumo wa kibaguzi wa adrica kusini unaofahamika kama Ukaburu

Aliachiwa huru kutoka gerezani mwaka 1990 na kuwa raisi  alitumikia miaka mine na baadae kuachia madaraka baada ya kutumikika kwa kipindi kimoja tu.Kitendo adimu kufanywa na viongozi waliopo

.
Akiwa mtu anayependwa Zaidi duniani,mandela aliwavutia mamilioni ya watu kwenye hotuba zake zilizokuwa zimejaa maneno ya faraja na ukombzi


Hii ni moja ya nukuu zake alipoamua kuachia madaraka kwa  hiyari yake                                          
   "ongoza kutokea nyuma na wafanye wengine waamini wao ndio wako mbele zako"

Je?wew unwkumbuka nukuu gani kutoka kwa hayati "NELSON MANDELA"
toa comment yako hapo chini.HAPPY BIRTHDAY NELSON MANDELA

0 maoni:

Chapisha Maoni