Jumapili, 27 Septemba 2015
Baadhi ya warembo walio jitokeza kwenye audition hii
Meneja wa kampuni hiyo yaNAMA ERICK akitoa maelekezo kwa wabunifu wachanga walio jitokeza
Mkurugenzi wa Nama Stacy aliyesuka rasta akiwashauri na kuwapongeza baadhi wa warembo na wabunifu walio jitokeza
Faidha gullamhussein upcoming model
Meneja wa kampuni hiyo ya nama akiongea na washiriki baada ya mahojiano ya mmoja mmoja
Viongozi wa kampuni hiyo ya nama wakiwa makini kuwaangalia na kuchagua yupi watakuwa nae katika kampuni hiyo
Erick swaggs
Kampuni ya Nama iliopo mikocheni b jijini dar es salaam imeandaa usaili wa warembo pamoja na wabunifu wachanga ikiwa na lengo la kuwainua na kuwasaidia baadhi wa warembo pamoja na wabunifu wa mavazi kufikisha ndoto zao
.Mkurugenzi wa kampuni hiyo ya Nama anayekwenda kwa jina la Stacy amesma kuwa nia ya kuandaa usahili huu ni kuwatambua vijana wanaopenda fashion na kuwaweka pamoja ili wqajuanae na kufanya kazi kwa pamoja ili wafikishe ndoto zao.
Watakao chaguliwa watadfundishwa vizuri na siku ta tarehe 3 mwezi ujao watafanya fashion show ili kilammoja aweze kuonyesha uwezo wao kwa watu mbalimbali watakao kuwepo siku hiyo kutakuwa na wabunifu mbalimbali wakubwa wakitoa mchango wao kwa baadhi ya model na wabunifu wa mavazi siku hiyo

Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Search
Popular Posts
-
ALLY REHMTULAH KUJA NA UFAHARI WETU FESTIVAL Mbunifu wa mavazi nchini Tanzania Allyrehmtullah ameandaa tamasha linalokwenda kwa jina ...
-
Akiwa na umri wa miaka 89 aliishi katika kipindi kigumu katika miaka ya 1990 kutokana na talaka za watoto wake 3 na ukimya usiokifani...
-
Rangi ya mdomo ni moja ya vipodozi vinavyoongeza urembo kwa mwanamke.Kuna rangi mbalimbali za mdomo kulingana na anachopenda kupaka mrembo h...
-
Msanii wa filamu nchini ambaye pia ni Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu, kufungua duka kubwa la urembo nchini Afrika Kusini. Kwa mujibu wa c...
-
JACKSON KABIRIGI'S PROFILE
-
MISS KINONDONI 2019 PRESS BONANZA Leo miss kinondoni wamefanya special bonanza kwa lengo la kuchangia kituo ch...
-
Tanzania ni moja ya nchi zilizoko chini ya jangwa la sahara afrika imekuwa na wimbi la kuongezeka kwa watu wenye ulemavu ngozi ,jamii y...
-
Msanii Linah Sanga alimaarufu kama Ndege mnana amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye nje ya kazi yake ya sanaa ni msusi mzuri wa nywele na al...
Recent Posts
Categories
Sample Text
Blog Archive
-
▼
2015
(56)
-
▼
Septemba
(10)
- NAMA MODEL PHOTO
- FAIDHA GULLAMHUSSEIN UPCOMING MODEL
- NAMA AUDITION 2015
- LUPITA NYONG’O KWENYE KAVA YA VOGUE OCTOBER 2015
- Lulu Michel afunguka kuhusu kura yake
- Malkia Elisabeth wa Uingereza avunja rekodi ya kuk...
- Bangi ya tumika kama dawa nchini mexico
- Picha za kinondoni star search final
- SANAA FASHION 2015
- TAMASHA LA UTOAJI DAMU NA UPIMAJI,SHINGO YA KIZAZI...
-
▼
Septemba
(10)
0 maoni:
Chapisha Maoni