Alhamisi, 10 Septemba 2015

Msanii wa Movie hapa nchini Elizabeth Michel a.k.a Lulu amefunguka haya mambo matano kuhusu chama anachokipenda na ni nani atampigia kura yake, hii ni baada ya kuona wasanii wengi wakionyesha mapenzi yao katika vyama wanavyo vipenda na wengine kutoa ngoma zinzo sifu vyama vyao

Na hiki ndicho alicho andika kupitia ukurasa wa Instagram “Okay….nimeulizwa na Wengi na pengine yanasemwa mengi kuhusu ni Chama kipi cha Siasa nina support Kama ilivyoonekana Kwa Wasanii Wenzangu wengine..! Kwa kifupi nitajaribu kufafanua machache Kwa huu uwezo mdogo wa kufikiri nilijaaliwa na Mwenyezi Mungu..

Kwanza,kila binadamu/mwananchi ana uhuru wa kuchagua na ku support anachokipenda…kwahyo sitangaa wala kuchukia Flani ku support upande flani
Pili,Mimi Kama mm(binafsi)hii ni Mara yangu ya kwanza kupiga kura kwahiyo nimeamua kuitumia Kwa busara na kuifanya iwe na Mafanikio na isiyo na majuto Kwa kutofuata mkumbo wowote wa ndugu,jamaa,marafiki au watu walionizunguka..!
Tatu,Nimependa kuitumia NAFASI hii zaidi Kwa UHUSIKA wa ELIZABETH na sio LULU nikimaanisha ikiwa kila kura ya mwananchi wa wakawaida ni ya siri na kuuridhisha moyo wake basi na mm nitakuwa mwananchi wa kawaida kbsa katika hili..!

Nne,natoa pongezi Kwa wasanii wenzangu waloweza kushiriki Kwa namna moja au nyingine ktk ku support upande mmoja au mwingine kwani wameonyesha ujasiri na mapenzi ya kweli Kwa vyama wanavyo support ILA tu mabishano ya HOJA ni mazuri zaidi na yanaweza kuepusha ugomvi au kuvunja mahusiano yetu ambayo yalikuwepo kabla ya UCHAGUZI na yatatakiwa kuendelea kuwepo baada ya UCHAGUZI..!

Tano,Nawatakia Kila La kheri Wagombea wote na Natumaini Uchaguzi utakuwa wa SAWA na HAKI..! Mwisho,mimi nimejiandikisha na nina KIKATIO changu
tayari,napenda kuwahimiza wananchi/WaTanzania wenzangu kujitokeza katika uchaguzi ili kumchagua yule unayeona anakufaa….tuombe Mungu na Tujitahidi uchaguzi uwe wa Amani na tuepuke maneno au vitu Vyovyote vinavyoweza kuashiria kuleta vurugu katika uchaguzi wetu Mkuu…!

MunguIbarikiTanzania
KuelekeaUchaguziMkuuOctober2015
KuraYanguSiriYangu
Elizabeth Michael ‘Lulu’ “elizabethmichaelofficial” on Instagram
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Search
Popular Posts
-
ALLY REHMTULAH KUJA NA UFAHARI WETU FESTIVAL Mbunifu wa mavazi nchini Tanzania Allyrehmtullah ameandaa tamasha linalokwenda kwa jina ...
-
Akiwa na umri wa miaka 89 aliishi katika kipindi kigumu katika miaka ya 1990 kutokana na talaka za watoto wake 3 na ukimya usiokifani...
-
Rangi ya mdomo ni moja ya vipodozi vinavyoongeza urembo kwa mwanamke.Kuna rangi mbalimbali za mdomo kulingana na anachopenda kupaka mrembo h...
-
Msanii wa filamu nchini ambaye pia ni Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu, kufungua duka kubwa la urembo nchini Afrika Kusini. Kwa mujibu wa c...
-
JACKSON KABIRIGI'S PROFILE
-
MISS KINONDONI 2019 PRESS BONANZA Leo miss kinondoni wamefanya special bonanza kwa lengo la kuchangia kituo ch...
-
Tanzania ni moja ya nchi zilizoko chini ya jangwa la sahara afrika imekuwa na wimbi la kuongezeka kwa watu wenye ulemavu ngozi ,jamii y...
-
Msanii Linah Sanga alimaarufu kama Ndege mnana amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye nje ya kazi yake ya sanaa ni msusi mzuri wa nywele na al...
Recent Posts
Categories
Sample Text
Blog Archive
-
▼
2015
(56)
-
▼
Septemba
(10)
- NAMA MODEL PHOTO
- FAIDHA GULLAMHUSSEIN UPCOMING MODEL
- NAMA AUDITION 2015
- LUPITA NYONG’O KWENYE KAVA YA VOGUE OCTOBER 2015
- Lulu Michel afunguka kuhusu kura yake
- Malkia Elisabeth wa Uingereza avunja rekodi ya kuk...
- Bangi ya tumika kama dawa nchini mexico
- Picha za kinondoni star search final
- SANAA FASHION 2015
- TAMASHA LA UTOAJI DAMU NA UPIMAJI,SHINGO YA KIZAZI...
-
▼
Septemba
(10)
0 maoni:
Chapisha Maoni