Jumatano, 14 Julai 2021

On 04:07 by barbrawilliam in , , ,    No comments
Hii ni baada ya taarifa siku ta jana kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na watu wengi kushangaa kwanini Miss Tanzania 2020-2021 Rosey Manfere hajatangazwa kwenda kushiriki Miss World2021 na badala yake ametangazwa mshindi wa pili ambaye ni Juliana Lugumisa taarifa za ndani zina sema "Kulitokea na utovu wa nidhamu kati ya Miss Tanzania Rosey na waandaaji wa mashindano ya miss Tanzania hivyo kutokana na kukiuka baadhi ya taratibu kamati ya Miss Tanzania ikafikia hatua hiyoya kumtangaza mshindi wa pili kwenda kushiriki Miss Tanzania Rosey Manfere alipewa taarifa wiki mbili zilizopitz kuwa hatoenda kushiriki miss world kutokana na utovu wa nidham" Taarifa za ndani zinasema hivyo, Ikumbukwe Miss World 2021 inategemea kufanyika December 16,2021 Puerto Rico na anayepeperusha bendera yetu kwa sasa ni Juliana Lugumisa aliyekuwa Miss Tanzania namba mbili. Waswahili wanasema kutesa kwa zamu