Alhamisi, 10 Septemba 2015

On 13:25 by barbrawilliam in ,    No comments

Akiwa na umri wa miaka 89 aliishi katika kipindi kigumu katika miaka ya 1990 kutokana na talaka za watoto wake 3 na ukimya usiokifani kufuatia kifo cha Diana.

150909143425_queen_elizabeth_ii_640x360_getty_nocredit
Malkia wa Elisabeth wa Pili wa Uingereza azidi kuingia katika historia baada ya kuvunja rekodi ya kukaa muda mrefu katika utawala.
Malkia Elisabeth alitawazwa kuwa malkia alipokuwa na miaka 25 tarehe 6 Februari mwaka 1952.
Septemba 9 akiwa katika kusherehekea miaka yake 63 na miezi 7 na siku 3 za utawala wake.
Malkia Elisabeth amempiku mtangulia wake Bi Victoria mbae hadi sasa alikuwa akishikilia nafasi hiyo.

0 maoni:

Chapisha Maoni