Jumanne, 6 Oktoba 2015

On 13:40 by barbrawilliam in , , , , , ,    No comments
Tamasha la Fahari ya Mwafrika ambalo limefanyika  Escape One  Mikocheni B jijini Dar es salaam ambalo liliwakutanisha magwiji mbalimbali katika kiwanda cha sanaa ya ubunifu mvbali mbali ambapo walijitokeza wachoraji wa picha,wabunifu wa mavazi navinygo pia burudani za ngoma za asili kutoka bagamoyo pamoja na vyakula vya asili kusheheni siku iyo
Lengo kuu la tamasha hili ni kuwa kutanisha waafrika mbalimbali kujuana na kufundishana fani mbalimbali za ubunifu wa vitu vya kiafrika.Tamasha hili liliudhuliwa na nchi mbalimbali ikiwemo Zambia,Malawi,Ghana,Namibia,South Afrika na Tanzania.Hii ni mara ya pili kufanyika kwa tamasha hili la Fahari ya Mwafrika hapa nchin





















 baadhi  ya model wakifanya mazoezi kabla ya shughuri kuanza









 mmbunifu wa vinyago kwa kutumia mawe waya na shanga akitokea zambia















 watoto nao walikuwepo siku hiyo






 mmbunifu wa vinyago,shang na mavazi akiwa bize kupanga vitu vyake









 Open Africa magazine na wao walikuwepo siku hiyo































 model wakijitayarisha kupanda juukwaani











 barbra william kutoka tv51

 mkurugenzi wa fahari ya mwafrika







 kulwa mkwandule afunika siku hiyo kwa kuwavisha model mavaz ya kiupekee

























































0 maoni:

Chapisha Maoni