Jumatatu, 6 Julai 2015
Tamasha la kutuza watu weusi wanaon"ara kwenye fani tofauti zinazoandaliwa na televison(BET),zilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita na kukusanya idadi kubwa ya watu maarufu kutoka barani America na Africa.
Tukio hili muhimu duniani lilifanyika katika ukumbi wa MicrosoftTheatre,Los Angeles na kutoa fursa kwa mastaa kupata tuzo ikiwa ni ishara ya kutambuliwa kwa mchango mkubwa katika sekta tofauti Kama kawaida ya shughuli hizo,watu maarufu walitumia kwa malengo tofauti,hasa kwa kuonyesha mitindo mbali mbali ya nguo,nywele,viatu nk
baadhi ya mastaa waliopita kwenye zulia jekundu la shughuli hiyo muhimu ni pamoja na mastaa wengi kupendeza katika stly ya kipekee
nick minaj alivaa gauni jeusi lililofuata mwili wake wakati naturi naughton alivaa la mackenzie lililobuniwa na kyemar mcentyre, ambaye alistua mitandao alipobuni vazi lake mwenyewe lililo mithili ya tarumbeta.
Tukio hili muhimu duniani lilifanyika katika ukumbi wa MicrosoftTheatre,Los Angeles na kutoa fursa kwa mastaa kupata tuzo ikiwa ni ishara ya kutambuliwa kwa mchango mkubwa katika sekta tofauti Kama kawaida ya shughuli hizo,watu maarufu walitumia kwa malengo tofauti,hasa kwa kuonyesha mitindo mbali mbali ya nguo,nywele,viatu nk
baadhi ya mastaa waliopita kwenye zulia jekundu la shughuli hiyo muhimu ni pamoja na mastaa wengi kupendeza katika stly ya kipekee

Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Search
Popular Posts
-
Akiwa na umri wa miaka 89 aliishi katika kipindi kigumu katika miaka ya 1990 kutokana na talaka za watoto wake 3 na ukimya usiokifani...
-
ALLY REHMTULAH KUJA NA UFAHARI WETU FESTIVAL Mbunifu wa mavazi nchini Tanzania Allyrehmtullah ameandaa tamasha linalokwenda kwa jina ...
-
Msanii wa filamu nchini ambaye pia ni Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu, kufungua duka kubwa la urembo nchini Afrika Kusini. Kwa mujibu wa c...
-
Rangi ya mdomo ni moja ya vipodozi vinavyoongeza urembo kwa mwanamke.Kuna rangi mbalimbali za mdomo kulingana na anachopenda kupaka mrembo h...
-
MISS KINONDONI 2019 PRESS BONANZA Leo miss kinondoni wamefanya special bonanza kwa lengo la kuchangia kituo ch...
-
Tamasha la kutuza watu weusi wanaon"ara kwenye fani tofauti zinazoandaliwa na televison(BET),zilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita na...
-
Huyu ni binti mwenye umri wa miaka19 mzaliwa wa mkoa wa Morogoro amemaliza elimu yake ya msingi na sekondani mkoani morogoro. Fani ya urem...
-
barbra william Hatari sana! Mkali wa Ngoma ya Chekecha Cheketua, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ amenusurika kifo baada ya kuvamiwa nyu...
Recent Posts
Categories
Sample Text
Blog Archive
-
▼
2015
(56)
-
▼
Julai
(11)
- MAYUNGA NALIMI AIRTEL TRACE MUSIC STAR
- JINSI YA KUJIWEKA WA THAMANI KWA MPENZI WAKO
- Miti shamba inayofanya matiti kuwa makubwa na yal...
- JE? UNAMFAHAMU LINAH SANGA NJE NA MUZIC ANAJISHUGH...
- BREAK NEWS;UJIO WA LOWASA CHADEMA WAWAGAWA MBOWE N...
- STAA NA MTOKO TOFAUTI NDANI YA BET
- MNYAMA MWENYE SAUTI KUBWA DUNIANI
- FAIDA YA LIMAO KWENYE NGOZI
- FANGASI SEHEMU ZA SIRI
- PENDEZA KWA KUPAKA MAKE UP KUTOKANA NA KIREMBA ULI...
- CHAGUA RANGI YA MDOMO KUTOKANA NA RANGI YAKO
-
▼
Julai
(11)
0 maoni:
Chapisha Maoni