Jumatatu, 13 Julai 2015
Hali ndani ya chadema imezidi kuwa tete mpaka sasa baada ya katibu mkuu wa Chadema Dr.slaa kutishia kurudisha kadi ya Chadema na kuachana na siasa za chama hicho kama MBOWE ataendelea kumshawishi na kumuomba LOWASA kujiunga na chama hicho ili awe mgombea wao wa uraisi.
Dr.SLAA ameonyesha msimamo huo muda mfupi kabla ya LOWASA hajaongea na waandishi wa habari nyumbani kwake masaki kuhusiana na hatima yake hiyo.Slaa amekihakikishia chambo chetu kwamaba yeye hamuungi mkono MBOWE kwenye mpango wake huo wa kumtaka LOWASA awe mgombea wa urahisi kupitia chama hicho.
Kwasababu ya mpasuko huo,timu ya mkakati ya LOWASA imeamua kuahirisha mkutano wao na Waandishi wa Habari uliokuwa ufanyike leo saa tano asubuhi hii kama ambavyo Mbowe ameomba ili kwanza wamalize tofauti zilizojitokeza kati yake na SLAA.Ikumbukwe kwamba hivi sasas SLAA ana mvutanao mkubwa na viongozi wenzake wa UKAWA ambapo analazimisha yeye awe mgombea.

Kijana mmoja wa CHADEMA ambaye yupo karibu na MBOWE amethibitisha kwamba MWENYEKITI wao huyo yupo tayari hata kumfukuza chama SLAA ili LOWASA awe mgombea wao anasema MBOWE anaamini kwamba LOWASA ataipeleka CHADEMA madarakani

Tayari mzee EDWIN MTEI ametumiwa ndege ili aje Dar haraka kumshawishi SLAA akubali kumpisha LOWASA kugombea urais
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Search
Popular Posts
-
Akiwa na umri wa miaka 89 aliishi katika kipindi kigumu katika miaka ya 1990 kutokana na talaka za watoto wake 3 na ukimya usiokifani...
-
ALLY REHMTULAH KUJA NA UFAHARI WETU FESTIVAL Mbunifu wa mavazi nchini Tanzania Allyrehmtullah ameandaa tamasha linalokwenda kwa jina ...
-
Msanii wa filamu nchini ambaye pia ni Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu, kufungua duka kubwa la urembo nchini Afrika Kusini. Kwa mujibu wa c...
-
Rangi ya mdomo ni moja ya vipodozi vinavyoongeza urembo kwa mwanamke.Kuna rangi mbalimbali za mdomo kulingana na anachopenda kupaka mrembo h...
-
MISS KINONDONI 2019 PRESS BONANZA Leo miss kinondoni wamefanya special bonanza kwa lengo la kuchangia kituo ch...
-
Tamasha la kutuza watu weusi wanaon"ara kwenye fani tofauti zinazoandaliwa na televison(BET),zilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita na...
-
Huyu ni binti mwenye umri wa miaka19 mzaliwa wa mkoa wa Morogoro amemaliza elimu yake ya msingi na sekondani mkoani morogoro. Fani ya urem...
-
barbra william Hatari sana! Mkali wa Ngoma ya Chekecha Cheketua, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ amenusurika kifo baada ya kuvamiwa nyu...
Recent Posts
Categories
Sample Text
Blog Archive
-
▼
2015
(56)
-
▼
Julai
(11)
- MAYUNGA NALIMI AIRTEL TRACE MUSIC STAR
- JINSI YA KUJIWEKA WA THAMANI KWA MPENZI WAKO
- Miti shamba inayofanya matiti kuwa makubwa na yal...
- JE? UNAMFAHAMU LINAH SANGA NJE NA MUZIC ANAJISHUGH...
- BREAK NEWS;UJIO WA LOWASA CHADEMA WAWAGAWA MBOWE N...
- STAA NA MTOKO TOFAUTI NDANI YA BET
- MNYAMA MWENYE SAUTI KUBWA DUNIANI
- FAIDA YA LIMAO KWENYE NGOZI
- FANGASI SEHEMU ZA SIRI
- PENDEZA KWA KUPAKA MAKE UP KUTOKANA NA KIREMBA ULI...
- CHAGUA RANGI YA MDOMO KUTOKANA NA RANGI YAKO
-
▼
Julai
(11)
0 maoni:
Chapisha Maoni