Jumapili, 30 Agosti 2015

On 00:25 by barbrawilliam in ,    No comments




 Kulwa Mkwandule akiwa na baadhi ya washiriki wa Miss Albino

 Kila mshiriki na pozi lake

 Mbunifu Kulwa Mkwandule katika pozi



 Washiriki wakiwa wameachia tabasamu jembambamba na  mbunifu wao

 Huyu nae ataonyesha mambo tofauti katika vazi lake la asili ni mshiriki anaye jiamini sana

Prisia mmoja kati ya washiriki mwenye ndoto ya kuibadili tasnia ya urembo Tanzania pia ni rapa mzuri sana 

 Mmoja ya mshiri akiwa kwenye pozi 

Mwanahamisi nassoro ni barozi wa Miss Albino pia ni Mshiriki



eptember mwaka huu kwa kuwa sapoti wenzetu na kuwapa moyo wa kufanya vizuri siku hiyo
 
Mwanahamisi Nassoro akiwa na mshiriki mwenzake kwenye vazi la kiafrica 
Ikiwa wewe ni Mtanzania unaependa mabadiliko na maendereo ya Nchi jitokeze siku ya tarehe 4 S

0 maoni:

Chapisha Maoni