Jumapili, 6 Septemba 2015

On 05:16 by barbrawilliam in    No comments
 SHIRIKA LISILO LA KISERIKALIA LA SAVE VULNERABLE FOUNDATION LIKISHIRIKIANA NA BAADHI YA MASHIRIKA LIMEANDAA TAMASHA LA UTOAJI NA UPIMAJI SHINGO YA KIZAZI KWA KINA MAMA,UPIMAJI MACHO,UPIMAJI WA VVU PAMOJA NA UTOAJI DAMU HII NI KUWAFANYA WANACHI KUJUA AFYA ZAO MAPEMA PIA KWA UPANDE WA ALBINO NAO WALIKUWA NA UPIMAJI WA NGOZI NA KUPEWA MATIBAU BURE KWA KILA ATAKAYE ONEKANA AMEASIRIKA NA MAGONJWA HAYO

TAMASHA HILI LILIFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJAJIJINI DAR ES SAALAM  






















 WASANII NAO WALIKUWEPO KWENYE TAMASHA HILO










 WANANCHI WALIOJITOKEZA KATIKA TAMASHA HILO WAKIWA KTK BANDA LA UPIMAJI VVU




 MSANII WA FILAMU SUZAN LEWIS MAARUFU KAMA NATASHA NAE ALISHIRIKI KATIKA UTOAJI DAMU



 KULWA MKWANDULE AKIWASILI KATIKA TAMASHA
 SUZAN LEWIS(NATASHA)AKIONGEA NA TV51



 MMOJA WA MADAKTARI AKIHOJIWA NA TV51




 MMOJA WA WAHUDUMU WA TAMASHA HILO AKITOA MAELEKEZO KWA KAINA MAMA




 KULWA MKWANDULE MMBUNIFU WA MAVAZI WA MISS ALBINO 2015


 WANAFUNZI WA JANGWANI WAKITOKEA KATIKA BANDA LA UPIMAJI VVU

 MISS ALBINO 2015 KATIKA POZI

 KULWA MKWANDULE AKIWA NA WASHIRIKI  MISS ALBINO










 MISS ALBINO 2015 NA WAO WALIKUWEPO KWENYE TAMASHA HILO







 BAADHI YA KINA MAMA WAKIWA KATIKA FOLENI YA UPIMAJI WA SHINGO YA KIZAZI



 MISS TANZANIA ALISHIRIKI KATIKA UTOAJI DAMU





 MISS TANZANIA LILIANKAMAZIMA  AKITOA DAMU
 BAADHI YA WANANCHI WALIOJITOKEZA KWENYE TAMASHA HILO


 BAADHI YA VIFAA VYA KUPIMIA MACHO VILIVYO TUMIKA


 WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA JAMHURI NA WAO WALIJITOKEZA KATIKA UTOAJI WA DAMU




 WANAFUNZI WA SHULE YA JANGWANI WAKIPIMA UWINGI WA DAMU

 DAKTARI WA NGOZI AKITOA MAELEZO JUU YA SHUGHURI HIYO


 BAADHI YA VIFAA VILIVYOTUMIKA KATIKA UPIMAJI WA NGOZI

 MMOJA WA ALBINO AKIPATA MATIBABU YA KUZUIA KANSA YA NGOZI







 MMOJA WA WASHIRIKI WA MISS ALBINO 2015 AKIWA NA MWANAE









0 maoni:

Chapisha Maoni