Alhamisi, 10 Septemba 2015

On 13:16 by barbrawilliam   No comments

index

Graciela, msichana mwenye umri wa miaka minane anaesumbuliwa na gonjwa na kifafa ambae hushikwa na ugonjwa huo kwa siku zaidi ya mara 300 ameruhusiwa kutumia marijuana kama dawa.Msichana huyo ni mtu wa kwanza kuruhusiwa kutumia marijuana nchini Mexico ambapo sheria ya nchi hiyo hutoa adhabu kwa watu wanaokamatwa wakitumia marijuana. Wizara ya afya ya Mexico ilifahamisha Jumanne kuwa itarahisisha ununuzi wa mafuta ya marijuana ili kuondoa maumivu kwa msichana huyo.
Raul Elizalde babake Graciela baada ya mkutano na viongozi katika kituo cha afya alipongeza hatua hiyo na kusema kuwa ni matumaini yao ya mwisho kwa kuwa binti yake alikwisha fanyiwa upasuaji wau bongo bila la mafaanikio

0 maoni:

Chapisha Maoni