Jumapili, 27 Septemba 2015

On 11:54 by barbrawilliam in , ,    No comments
 Baadhi ya warembo walio jitokeza kwenye audition hii





 Meneja wa kampuni hiyo yaNAMA ERICK akitoa maelekezo kwa wabunifu wachanga walio jitokeza







 Mkurugenzi wa Nama Stacy aliyesuka rasta akiwashauri na kuwapongeza baadhi wa warembo na wabunifu walio jitokeza


















 Faidha gullamhussein upcoming model
























 Meneja wa kampuni hiyo ya nama  akiongea na washiriki baada ya mahojiano ya mmoja mmoja






 Viongozi wa kampuni hiyo ya nama wakiwa makini kuwaangalia na kuchagua yupi watakuwa nae katika kampuni hiyo
 Erick swaggs

Kampuni ya Nama iliopo mikocheni b jijini dar es salaam imeandaa usaili wa warembo pamoja na wabunifu wachanga ikiwa na lengo la kuwainua na kuwasaidia baadhi wa warembo pamoja na wabunifu wa mavazi kufikisha ndoto zao

.Mkurugenzi wa kampuni hiyo ya Nama anayekwenda kwa jina la Stacy amesma kuwa nia ya kuandaa usahili huu ni kuwatambua vijana wanaopenda fashion na kuwaweka pamoja ili wqajuanae na kufanya kazi kwa pamoja ili wafikishe ndoto zao.

Watakao chaguliwa watadfundishwa vizuri na siku ta tarehe 3 mwezi ujao watafanya fashion show ili kilammoja aweze kuonyesha uwezo wao kwa watu mbalimbali watakao kuwepo siku hiyo kutakuwa na wabunifu mbalimbali wakubwa  wakitoa mchango wao kwa baadhi ya model na wabunifu wa mavazi siku hiyo

0 maoni:

Chapisha Maoni