Jumapili, 27 Septemba 2015

On 12:40 by barbrawilliam in , ,    No comments
Huyu ni binti mwenye umri wa miaka19 mzaliwa wa mkoa wa Morogoro amemaliza elimu yake ya msingi na sekondani mkoani morogoro.

Fani ya urembo alianza mnamo mwaka2011 ambapo kwakipindi hicho hakuweza kufikisha ndoto zake kutokana na masomo,sasa ameanza rasmi fanihiyo ya urembo ni model mwenye urefu wa mita5kwa 6 mwenye uzito wa kilo 57 ni mweupe na mwenye rangi ya kuvutia katika camera na pia ni mbunifu wa mavazi, ameweza kuwavalisha baadhi wa warembo katika mkoa huo wa morogoro.Hakika hiki ni kipaji kipya kinachokuja na fani mbili tofauti
 




















































































 Akiwa kwenye mazoezi ya model Faidha akiwa na Fatuma


0 maoni:

Chapisha Maoni